WELCOME ALL

Gonga Hapa.

Sunday, July 18, 2010

barabara za lindi na mtwara,kipande cha kilometa sitini na mbili mbioni kwisha.

magari yakiwa yamenasa katika kijiji cha nyamwage barabara ya kwenda Lindi/Mtwara,eneo hili inapofika kipindi ni bora tu usisafiri kwa sababu pindi mvua zinapoanza barabara inakua haipitiki abiria wanalala porini siku mbili hadi tatu au wiki nzima,juhudi za kumaliza kipande hiki cha ujenzi wa barabara hii ipatayo kilometa 62 inaendelea huku mkangarasi aliyepewa jukumu la kukamilisha kipande hicho akiwa katika hatua ya mwisho ya kumaliza kujenga makalavati na madaraj,pindi tu barabara hii itakapokwisha itawarahishia wakazi wa miji hiyo ya kusini kufanya shughuli zao kwa urahisi zaidi,
jamani uoneni barabara zetu za lindi na mtwara kero tupu!!!!1

No comments: