WELCOME ALL

Gonga Hapa.

Tuesday, July 20, 2010

Miongoni mwa miji inayokua kwa kasi duniani moja wapo ni jiji la Dar es salaam,Maarufu sasa kamam jiji la Lukuvi,mji huu unapanuka kwa kasi sana hususani katika shughuli za kimaendeleo,kisiasa na kijamii,lina wakazi wake wanafahamika kwa kabila la wazaramo yumkini lina makabila tofauti kama sio yote yanayopatikana nchi nzima ya Tanzania,jiji hilo lina wakazi wapatao takriban zaidi ya milioni 5,lina wilaya zipatazo tatu, Temeke,Ilala na Kinondoni,uchumi wa jiji hili unategemea sana shughuli za maofisini na biashara za hapa na pale,miundombinu ya jiji hili bado ni tabu kidogo japokua serikali inafanya kila jitihada za kuhakikisha mambo yanaenda sawa, jiji hili lina shughuli nyingi sana ikiwemo biashara,uvuvi,utalii,nk na kuna baadhi ya sekta tofauti zinazopatikana ndani ya jiji la Mh Lukuvi,kwa ufupi hilo ndilo jiji la Da res salaam au wajanja wanaliita jiji la Bongo,maana ukitaka kuishi ndani ya bongo lazima utumie ubongo vilevile,

2 comments:

Veronica said...

nimeona blog yako.kila la kheri

Veronika said...

asante sana dada Veronika mungu akubariki sana kwa maoni yako!