WELCOME TO KUNAMBI BLOG!!!
Suala la Maisha ni kusaidiana na si eti kwa sababu mwanamke ameolewa basi baba unakua mtu wa kutoa amri tu ndani ya nyumba,hiyo hapana kuna mda mwengine mama nae anakua kachoka pia so yatupasa kina baba kuelimika na kusaidia wake zetu
WELCOME ALL
Gonga Hapa.
Tuesday, April 30, 2013
TRUST YOUR SELF
WELCOME TO KUNAMBI BLOG!!!
Maisha ya sasa katika suala zima la mapenzi yamekua ya kusuasua sana kiasi kupeleka wanandoa au wapenzi kusaliatiana na baadae kuleta ugomvi na masikilizani hasi kwenye mahusiano.

WELCOME TO KUNAMBI BLOG!!! Kufuatia vurugu kubwa zilizozuka mkoani Lindi wilaya ya Liwale kwa wakulima wa korosho kudai mafao yao ya shilingi mia sita (600) imesababisha tafrani kubwa kiasi nyumba ya mbunge wa wilaya hiyo kuchomwa kwa moto na kuharibiwa vibaya, na baadhi ya magari kuchomwa moto.
kufuatia vurugu hizo serikali ya kijiji iliamriwa na mamlaka ya bodi ya korosho kumalizia kiasi hicho kinachodaiwa na wakulima ili kuepusha vurugu wilayani humo
WELCOME TO KUNAMBI BLOG!!!
inasadikika watoto wadogo hawawezi kudhuriwa na viumbe hatari kama nyoka,kwani wanapata ibra kutoka kwa mungu,malaika hawa wa mungu hulindwa na nguvu za mungu kwenye hatari ya aina yoyote ile,lakini kinachotakiwa unapomkuta mtoto kwenye hatari hutakiwi kushtuka wala kupiga mayowe kwani kwa kufanya hivyo utamshtua kiumbe hatari aliye karibu nae kuweza kumdhuru,lakini kama utakua na roho ngumu na kutulia kimya huyo kiumbe hatari kama vile nyoka n.k anaweza kucheza na mtoto kisha akaondoka zake bila kumdhuru.

Subscribe to:
Posts (Atom)