WELCOME ALL

Gonga Hapa.

Tuesday, July 20, 2010

umeshawahi kupata mtoto kama huyu?

dunia ina maajabu lakini haya ni ukweli tupu si tu watoto wakibongo wanaweza kucheza ndombolo bali hata huko ughaiguni mambo haya wanayaweza, ukitaka kufahmu hilo hebu cheki hapo kwenye play then uone dogo anavyoyaruka majoka,,,,,,,,,,,,,,,kweli huyu ni full msanii,nyota njema huonekana asubuhi msemo ni mashuhuri sana unathibitishwa na video gonga hapo na ujionee mwenyewe..............
WELCOME TO KUNAMBI BLOG!!!

No comments: